Proverbs 2:3-6

3 ana kama ukiita busara
na kuita kwa sauti ufahamu,
4 bna kama utaitafuta kama fedha
na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa,
5 cndipo utakapoelewa kumcha Bwana
na kupata maarifa ya Mungu.
6 dKwa maana Bwana hutoa hekima,
na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu.
Copyright information for SwhNEN